Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

KILWA YATOA MAFUNZO REJEA KWA MAAFISA KILIMO WAKE

ABDALLAH UMANDE

5th October, 2024 02:30
KILWA YATOA MAFUNZO REJEA KWA MAAFISA KILIMO WAKE

Halmshauri ya wilaya ya Kilwa imefanikisha Mafunzo rejea Kwa Maafisa Kilimo wake kujiandaa na msimu wa Kilimo 2024/2025.Ambapo Maafisa Kilimo walifundishwa mbinu mpya na za zamani Katika kuendeleza Kilimo Bora Cha Mazao ya chakula na biashara.


Mirejesho