Imewekwa 28th January, 2022 13:52
Maafisa ugani wa umma kutoka halmashauri ya Mtama na Ruangwa Dc wapatiwa mafunzo rejea kwa mazao ya ufuta na alizeti yaliyotolewa na wizara ya kilimo kwa kushirikiana na AMDT kwa…
Imewekwa 28th January, 2022 15:17
Maafisa ugan kutoka kata za LIKUNJA, NKOWE,CHIEJELE na MNACHO Ruangwa Dc ambazo uzalisha mazao ya mboga mboga na matunda wamewezeshwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya Ruangwa kwenda kujifunza katika…
Imewekwa 29th January, 2022 12:31
Pamba ni zao la kimkakati ambalo limeendelea kunufaisha wakulima wengi Wilayani Igunga. katika msimu wa kilimo 2021/2022 wakulima wameendelea kutunza zao la Pamba katika Hatua mbalimbali. wengi wao walipanda zao…
Imewekwa 29th January, 2022 12:52
Wakulima wa zao la Pamba Kijiji cha Mangungu, Kata ya Bukoko Wilaya ya Igunga wamehamasika na kufuata maelekezo ya Balozi wa zao la Pamba nchini, kupanda kwa mistari na kwa…
Imewekwa 18th February, 2022 13:23
Kilimo bora cha mahindi lazima ufuate kanuni bora za mahindi
Imewekwa 18th February, 2022 13:25
Toka tar 17/2/2022 _maafisa killimo wamepeta mafunzo ya mkilimo .kwasasa tunaamini wataenda kufanya kazi kwa kutumia huu mfumo na wakulima watapata huduma kiurahisi
Imewekwa 19th February, 2022 10:32
Zoezi la upandaji wa SHAMBA darasa la alizeti mbegu aina ya record kiasi kilo mbili eneo eka MOJA nafasi 75cm KWA 30cm
Imewekwa 22nd February, 2022 12:14
Msahamba darasa yaliyopandwa mbegu aina ya hysun 33 katika kata ya ikhanoda yameonyesha ufanisi mzurikatika uotaji na ukuaji mzuri pamoja na changamoto mbalimbali kama upungufu wa mvua kipindi cha kupanda…
Imewekwa 25th February, 2022 12:19
Mchicha lishe uliondaliwa , kuanzia step ya kupanda hada kuvuna, na wakulima wa kijj cha kilingi na Afasa ugani wao Violeth Godwn,kwa kweli unapendeza karbu mjipatie mafunzo zaid : 0754772801
Imewekwa 25th February, 2022 12:19
Wizard ya Kilimo inaendesha mafunzo ya m- Kilimo katika mkoa wa kilimanjaroikishirikisha halmashauri ya Hai,Rombo,Moshi-Dc na Siha mafunzo hayo yalifanyika katika Halmashauri ya Hai tarehe 24-25 February katika ukumbi wa…
Imewekwa 25th February, 2022 12:19
Wizara ya kilimo imeendesha mafunzo ya M-Kilimo kwa Maafisa Ugani 140 katika Mkoa wa Kilimanjaro ikishirikisha Halmashauri ya Hai, Siha, Rombo na MoshI DC, mafuzo hayo yalifanyika katika Halmashauri ya Hai…
Imewekwa 25th February, 2022 12:20
Maafisa ugani wa mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 24 February 2022 wapatao 140 wamepatatia mafunzo ya matumizi ya M kilimo na wawezeshaji kutoka Wizara ya kilimo
Imewekwa 25th February, 2022 12:20
Wizara ya Kilimo imeendesha mafunzo ya M-KILIMO kwa maafisa ugani 140 katika Mkoa wa Kilimanjaro ikishirikisha Halmashauri ya Hai, Rombo, Moshi DC na Siha kwa siku mbili
Imewekwa 25th February, 2022 12:20
Mafunzo hayalifanika katika wilaya ya Hai ikijumuhisha maafisa ugani 150 kutoka wilaya za Moshi DC,Rombo, sia na Hai ikiwa mwenyeji wa mafunzo hayo ya kuwanoa wataalamu hao kuweza kutumia mfumo…
Imewekwa 25th February, 2022 12:21
Wizara ya kilimo imefanya MAFUNZO
Imewekwa 25th February, 2022 12:21
Wizara ya kilimo imeendesha mafunzo ya M.Kilimo kwa maafisa ugani 140 katika Mkoa wa kilimanjaro ikishirikisha Halmashauri ya Hai,Siha,Rombo na Moshi DC yanayifanyika ukumbi wa halmashaur ya wilaya ya hai...
Imewekwa 25th February, 2022 12:26
Kati ya maafisa ugani 140 waliohudhuria MAFUNZO ya siku mbili yaliyoendeshwa na wizard ya Kilimo iliyohusisha Halmashauri nne(4) ikiwa ni wilaya ya Moshi Dc,Rombo,Siha na Hai.
Halmashauri ya wilaya ya Hai…
Imewekwa 25th February, 2022 12:26
Moja ya mwanasemina akiwa anasoma matarajio ya wanasemina ya m kilimo katika wilaya ya siha ,hai,moshi DC na rombo
Imewekwa 25th February, 2022 12:26
Wizara ya kilimo imewapatia maafisa ugani 140 wa mkoa wa Kilimanjaro mafunzo ya M-KILIMO ambao imehushisha wilaya ya Hai,Rombo,Siha na Moshi DC yaliyofanyika katika halmashauri ya Hai tarehe 24-25 februari…
Imewekwa 25th February, 2022 12:29
Wizara ya KILIMO imeendesha mafunzo ya M-KILIMO MKOA WA KILIMANJARO Kwa maafisa Ugani wapatao 140.zikiwa zimeshirikishwa Halmashauri za Hai, Siha, Rombo na Moshi Dc,lengo hasa ni kuwapatia uweledi na ujuzi…
Imewekwa 25th February, 2022 12:30
Wizara ya kilimo imewapatia maafisa ugani 140 wa mkoa wa Kilimanjaro mafunzo ya M-KILIMO ambao imehushisha wilaya ya Hai,Rombo,Siha na Moshi DC yaliyofanyika katika halmashauri ya Hai tarehe 24-25 februari…
Imewekwa 25th February, 2022 12:31
Mafunzo hayo yamefanyika kwa siku mbili wilayani.hai
Imewekwa 25th February, 2022 12:31
Tunapata mafunzo ya M Kilimo kwa ajili ya kutujengea uwezo tar 24/25_02/2022 Hai district
Imewekwa 26th February, 2022 11:29
kutoà huduma bora kwa kila afisa ugani kw kuwapatia vitendea kazi
Imewekwa 26th February, 2022 12:18
Mtumìzi ya simu kwa ajili ya kutoa ushauri kwa wakulima
Imewekwa 21st March, 2022 19:55
Maelekezo ya jinsi inavyofanya kazi uduma ya mkilimo wananchi wameipokea nakuifurahia
Imewekwa 21st March, 2022 19:56
Maelekezo ya jinsi inavyofanya kazi uduma ya mkilimo wananchi wameipokea nakuifurahia
Mobile Kilimo. © 2024 - Haki zote zimehifadhiwa.
Imetengenezwa na Multics Systems LTD.