Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Tafuta
Kata ya idamba kijiji cha lwanzali
Kata ya idamba kijiji cha lwanzali

Imewekwa 21st March, 2022 19:56

Maelekezo ya jinsi inavyofanya kazi uduma ya mkilimo wananchi wameipokea nakuifurahia

Kata ya idamba kijiji cha lwanzali
Kata ya idamba kijiji cha lwanzali

Imewekwa 21st March, 2022 19:57

Maelekezo ya jinsi inavyofanya kazi uduma ya mkilimo wananchi wameipokea nakuifurahia

MATIKITI YANAUZWA
MATIKITI YANAUZWA

Imewekwa 31st March, 2022 09:52

Matikiti yanauzwa kutoka katika kikundi Cha walemavu umoja group kilichopo kijiji cha wembele kata ya shelui wilaya ya Iramba mkoa wa singida.

Wanamatikiti yapatayo 5000 Bei ni maelewano.

Kwa mawasiliano wasiliana na…

Wakulima kijiji cha tyeme wapatiwa mafunzo ya matumizi ya mbolea na viwatilifu katika zao la mtama
Wakulima kijiji cha tyeme wapatiwa mafunzo ya matumizi ya mbolea na viwatilifu katika zao la mtama

Imewekwa 9th April, 2022 21:17

Wakulima kijiji Cha tyeme kata ya Mtoa wilaya ya Iramba wapatiwa mafunzo ya matumizi ya mbolea za kupandia,kukuzia na kuzalishia na pia namna ya kupambana na wadudu waharibifu wa mazao.

Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Viwavi Jeshi
Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Viwavi Jeshi

Imewekwa 16th April, 2022 20:18

Wakulima wachangamkie fursa hii ya kupata viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti viwavi jeshi mashambani. Viuatilifu hivi hutolewa bure baada ya shamba kukaguliwa na Afsa kilimo wa eneo lakao

MKUTANO MKUTANO MKUBWA WA WADAU WA PARACHICHI WAFANYIKA TAREHE 20/05/2022 WILAYANI WANGING'OMBE MKOA WA NJOMBE
MKUTANO MKUTANO MKUBWA WA WADAU WA PARACHICHI WAFANYIKA TAREHE 20/05/2022 WILAYANI WANGING'OMBE MKOA WA NJOMBE

Imewekwa 29th May, 2022 20:36

Mkutano huo ukijumuisha watafiti kutoka TARI-UYOLE, Pia TANTRADE naTAHA.Wanunuzi na wawekezaji mbalimbali wakiwemo kwenye mkutano huo, wakitoa maoni ya kuboresha na kuongeza uzalishaji tija wa zao hilo.Wakulima takribani 300 na…

MKUTANO WA WADAU WA PARACHICHI WANGING'OMBE- NJOMBE
MKUTANO WA WADAU WA PARACHICHI WANGING'OMBE- NJOMBE

Imewekwa 29th May, 2022 20:43

Mkuu wa Mkoa  wa Njombe Mh. WAZIRI KINDAMBA akitoa hotuba katika mkutano wa wadau wa parachichi, akikemea juu wanunuzi matapeli wasiolipa madeni kwa wakulima na kuagiza walipe mara moja.

MAONESHO MBALIMBALI YAKIFANYIKA KATIKA MKUTANO HUO
MAONESHO MBALIMBALI YAKIFANYIKA KATIKA MKUTANO HUO

Imewekwa 29th May, 2022 20:50

Wakulima, na mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa WAZIRI KINDAMBA, Wakiangilia miche, matunda ya parachichi na product zake mbalimbali zitokanazo na zao la parachichi, pia mbolea za asili

WAGENI RASMI NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI NA MKURUGENZI WA WANGING'OMBE WAKUKIWA KWEMYE MKUTANO WA WADAU WA PARACHICHI
WAGENI RASMI NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI NA MKURUGENZI WA WANGING'OMBE WAKUKIWA KWEMYE MKUTANO WA WADAU WA PARACHICHI

Imewekwa 29th May, 2022 21:00

Hapo pichani anaanza mkurugenzi(DED), Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wanging'ombe,  anafuata Mh. Mkuu wa Mkoa wa Njombe, anafuata DC. Pongezi kwa DED(W) Wanging'ombe kuuwezesha mkutano huu.

SNAI BAND IKITOA BURUDANI SIKU YA MKUTANO WA WADAU WA PARACHICHI -WANGING'OMBE(NJOMBE)
SNAI BAND IKITOA BURUDANI SIKU YA MKUTANO WA WADAU WA PARACHICHI -WANGING'OMBE(NJOMBE)

Imewekwa 29th May, 2022 21:08

Hawa ni SNAI BAND wakiimba wimbo usemao "parachichi tamu tamu" parachichi ni dhahabu ya kijani

WASHIRIKI MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA WADAU WA PARACHICHI KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING'OMBE
WASHIRIKI MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA WADAU WA PARACHICHI KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA WANGING'OMBE

Imewekwa 29th May, 2022 21:17

Wakulima takribani 300, kupata semina ya kilimo bora cha zao parachichi, wawezeshaji wakiwemo, TARI-UYOLE(Uzalishaji bora wa parachichi), TOSCI(ubora wa miche), TAHA(ubora katika uvunaji wa matunda) na TANTRADE(uuzaji na masoko).

MKUTANO WA WADAU WA PARACHICHI WANGING'OMBE- NJOMBE
MKUTANO WA WADAU WA PARACHICHI WANGING'OMBE- NJOMBE

Imewekwa 29th May, 2022 21:29

Hapa ni mbele ya ofisi ya Mkurugenzi(W) Wanging'ombe, magari mbalimbali ya wadau wa parachichi, pia kwa mbele kidogo ndipo maonesho walipo na baada ya maonesho washiriki waliweza kuingia ndani na…

WADAU MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA PARACHICHI WILAYANI WANGING'OMBE
WADAU MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA PARACHICHI WILAYANI WANGING'OMBE

Imewekwa 29th May, 2022 21:43

Hapa tunaona wadau mbalimbali, wakiwemo wawekezaji na makampuni ya ununuzi wa zao la parachichi( OLIVADO, AGRI GROW, LIMA KWANZA LTD,AVO AFRICA LTD, TANZANICE LTD,WINTECH LTD, FRANK HORT LTD, MAS LTD,…

MAAFISA UGANI IRAMBA WAPATIWA PIKIPIKI
MAAFISA UGANI IRAMBA WAPATIWA PIKIPIKI

Imewekwa 20th June, 2022 22:43

Mnamo 13/06/2022 maafisa ugani walikabidhiwa pipiki na mkurugenzi wa halmashauri,Mafisa ugani wameshauriwa kuzitumia pikipiki katika kuwahudumia wakulima ili kuongeza uzalishaji kwa tija na pia kushirikiana na watendaji wenye POS kukusanya…

MAAFISA UGANI WAPEWA PIKIPIKI HALMASHAURI YA MERU
MAAFISA UGANI WAPEWA PIKIPIKI HALMASHAURI YA MERU

Imewekwa 29th November, 2022 09:20

MAAFISA UGANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU INAISHUKURU SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA PAMOJA NA VIONGOZI WAKE PAMOJA MUHESHIMIWA RAISA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KWA VITENDEA KAZI HIVI…

TARI ILONGA KUFANYA KAZI NA HALMASHAURI YA RUANGWA KATIKA ZAO LA MTAMA
TARI ILONGA KUFANYA KAZI NA HALMASHAURI YA RUANGWA KATIKA ZAO LA MTAMA

Imewekwa 7th March, 2023 18:41

Kituo cha utafiti TARI ILONGA ,imedhamiria kupanua wigo wa kuongeza uzalishaji zao la mtama wa mda mfupi kwa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa ,lengo kuu ikiwa ni kupanua wigo wa…

Maonyesho ya zana za kilimo
Maonyesho ya zana za kilimo

Imewekwa 19th May, 2023 13:35

Wakulima kata ya Ndago iramba singida wameshiriki kwenye maonyesho ya zana za kilimo ambapo wamejionea zana mbalimbali ikiwemo machine ya kupura mazao Kama vile alizeti.mahindi.mtama na dengu toka Imara tech

Ushauri kwa wakulima
Ushauri kwa wakulima

Imewekwa 20th May, 2023 18:24

Wakulima wa zao la dengu katika kijiji cha zinziligi itamba Singida wamepatiwa ushaur wa kitaalam juu ya kudhibiti wadudu na gonna la ukungu .

Wananchi wa kata ya mgongo kupitia vikundi wagawiwa mbuzi bora wa kisasa kwaajiri ya kuinua kuwainua kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja na kikundi kuzima hatimae jamii nzima ya mgongo by LEVINA selestin AFO mgongo

Imewekwa 24th August, 2023 19:22

Wanainch wa kata ya mgongo kupitia vikundi wagawiwa mbuzi wa kisasa kwaajiri ya kuwafuga kitaalamu ili waweze kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja na kikundi hatimaie jamii ya wana mgongo…

Imewekwa 24th August, 2023 19:32

Wanainch wa kata ya mgongo kupitia vikundi wagawiwa mbuzi wa kisasa kwaajiri ya kuwafuga kitaalamu ili waweze kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja na kikundi hatimaie jamii ya wana mgongo…

MAAFISA UGANI RUANGWA WAPATA MAFUNZO YA MATUMIZI YA KIFAA CHA KUPIMA AFYA YA UDONGO(SOIL KIT)
MAAFISA UGANI RUANGWA WAPATA MAFUNZO YA MATUMIZI YA KIFAA CHA KUPIMA AFYA YA UDONGO(SOIL KIT)

Imewekwa 22nd October, 2023 09:14

Maafisa Ugani Ruangwa Dc,wamepata mafunzo maalum kwa ajili ya kutambua afya ya udongo.Mafunzo haya yanatarajiwa kuleta chachu ya mabadiliko makubwa katika uzalishaji wa mazao ya Kilimo wilayani Ruangwa.

Mafunzo ya kilimo hifadhi
Mafunzo ya kilimo hifadhi

Imewekwa 23rd November, 2023 18:44

Wakulima wa kijiji cha ndulungu kata ya ndulungu wapata mafunzo ya kilimo hifadhi

Mafunzo ya technolojia ya mbegu tisa
Mafunzo ya technolojia ya mbegu tisa

Imewekwa 25th January, 2024 22:30

Ni baadhi ya Wakulima walio pata mafunzo hayo yakiwa na lengo la kuongeza tija ya uzalishaji wa mazao hasa mahindi

KILWA YATOA MAFUNZO REJEA KWA MAAFISA KILIMO WAKE
KILWA YATOA MAFUNZO REJEA KWA MAAFISA KILIMO WAKE

Imewekwa 5th October, 2024 02:30

Halmshauri ya wilaya ya Kilwa imefanikisha Mafunzo rejea Kwa Maafisa Kilimo wake kujiandaa na msimu wa Kilimo 2024/2025.Ambapo Maafisa Kilimo walifundishwa mbinu mpya na za zamani Katika kuendeleza Kilimo Bora…

TIRA YATOA ELIMU YA BIMA KWA WAKULIMA KATA YA TINGI WILAYANI KILWA
TIRA YATOA ELIMU YA BIMA KWA WAKULIMA KATA YA TINGI WILAYANI KILWA

Imewekwa 10th October, 2024 07:46

Mamlaka ya usimamizi wa bima Tanzania (TIRA) Imetoka Elimu ya Bima kwa Wakulima 100+ wa kata ya Tingi wilayani Kilwa Tarehe 09-10-2024, Ambapo wakulima walipewa Elimu ya Bima na Umuhimu…

UTAMBUZI WA AFYA YA UDONGO NI MAISHA YA MKULIMA WILAYA YA WANGING'OMBE MKOA WA NJOMBE
UTAMBUZI WA AFYA YA UDONGO NI MAISHA YA MKULIMA WILAYA YA WANGING'OMBE MKOA WA NJOMBE

Imewekwa 21st November, 2024 13:59

PACIENCE PIUS CHAWALA (AO)

Nilianza kujiuliza je nimueleze nini Mkulima  juu ya upimaji wa afya udongo, Moyo ukaanza kuipenda kazi hii, nikapanga kuwatembelea wakulima wote Wilani ili wajue umuhimu wa jambo…