Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

WANANCHI WA KATA YA MGONGO KUPITIA VIKUNDI WAGAWIWA MBUZI BORA WA KISASA KWAAJIRI YA KUINUA KUWAINUA KIUCHUMI KWA MTU MMOJA MMOJA NA KIKUNDI KUZIMA HATIMAE JAMII NZIMA YA MGONGO BY LEVINA SELESTIN AFO MGONGO

Dickson Kuyenga

24th August, 2023 19:22
Wananchi wa kata ya mgongo kupitia vikundi wagawiwa mbuzi bora wa kisasa kwaajiri ya kuinua kuwainua kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja na kikundi kuzima hatimae jamii nzima ya mgongo by LEVINA selestin AFO mgongo

Wanainch wa kata ya mgongo kupitia vikundi wagawiwa mbuzi wa kisasa kwaajiri ya kuwafuga kitaalamu ili waweze kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja na kikundi hatimaie jamii ya wana mgongo kwa ujumla by LEVINA SELESTIN AFO mgongo

 

 


Mirejesho