Joel Silavwe
28th January, 2022 15:17Maafisa ugan kutoka kata za LIKUNJA, NKOWE,CHIEJELE na MNACHO Ruangwa Dc ambazo uzalisha mazao ya mboga mboga na matunda wamewezeshwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya Ruangwa kwenda kujifunza katika soko la mboga mboga na matunda ( collection center)katika kijiji cha chidya wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara. Soko hilo lina miundombinu yote ikiwa ni pamoja na cold room,kreti maalum kwa ajili ya vipimo zenye ujazo wa kilogram 40, lakin pia sheria ndogo ndogo na tozo walizojiwekea ili kuepuka uuzaji holela wa mazao hayo na hivyo halmashauri kuingiza mapato kwa urahisi kupitia mazao haya ya bustani.
Wizara ya Kilimo
Idara ya Utawala, Kilimo IV
P.O. Box 2182, 40487 Dodoma.
ps@kilimo.go.tz
+255 (026) 2321407/ 2320035
Mobile Kilimo. © 2024 - Haki zote zimehifadhiwa.
Imetengenezwa na Multics Systems LTD.