Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MAONYESHO YA ZANA ZA KILIMO

Sophia Mnyela

19th May, 2023 13:35
Maonyesho ya zana za kilimo

Wakulima kata ya Ndago iramba singida wameshiriki kwenye maonyesho ya zana za kilimo ambapo wamejionea zana mbalimbali ikiwemo machine ya kupura mazao Kama vile alizeti.mahindi.mtama na dengu toka Imara tech


Mirejesho