Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

TIRA YATOA ELIMU YA BIMA KWA WAKULIMA KATA YA TINGI WILAYANI KILWA

ABDALLAH UMANDE

10th October, 2024 07:46
TIRA YATOA ELIMU YA BIMA KWA WAKULIMA KATA YA TINGI WILAYANI KILWA

Mamlaka ya usimamizi wa bima Tanzania (TIRA) Imetoka Elimu ya Bima kwa Wakulima 100+ wa kata ya Tingi wilayani Kilwa Tarehe 09-10-2024, Ambapo wakulima walipewa Elimu ya Bima na Umuhimu wa kuwa na Bima katika vilimo vya mazao mbalimbali Ili kuweza kutatua changamoto ya majanga mbalimbali yanayoweza kuathiri Kilimo,Ikiwemo majanga ya Ukame,moto,mafuriko n.k. Wakulima waliipokea Elimu na kuomba watoa huduma wa Bima nao waje kukutana na Wakulima ambapo ombi lao lilipokelewa na TIRA


Mirejesho