Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

VIUATILIFU KWA AJILI YA KUDHIBITI VIWAVI JESHI

Selemani Selemani

16th April, 2022 20:18
Viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti Viwavi Jeshi

Wakulima wachangamkie fursa hii ya kupata viuatilifu kwa ajili ya kudhibiti viwavi jeshi mashambani. Viuatilifu hivi hutolewa bure baada ya shamba kukaguliwa na Afsa kilimo wa eneo lakao


Mirejesho