Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MAAFISA UGANI IRAMBA WAPATIWA PIKIPIKI

Hassan Hangahanga

20th June, 2022 22:43
MAAFISA UGANI IRAMBA WAPATIWA PIKIPIKI

Mnamo 13/06/2022 maafisa ugani walikabidhiwa pipiki na mkurugenzi wa halmashauri,Mafisa ugani wameshauriwa kuzitumia pikipiki katika kuwahudumia wakulima ili kuongeza uzalishaji kwa tija na pia kushirikiana na watendaji wenye POS kukusanya mapato ya halmashari.


Mirejesho