Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MAAFISA UGANI WAPEWA PIKIPIKI HALMASHAURI YA MERU

AURELIA MAHUNDI

29th November, 2022 09:20
MAAFISA UGANI WAPEWA PIKIPIKI HALMASHAURI YA MERU

MAAFISA UGANI HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU INAISHUKURU SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA PAMOJA NA VIONGOZI WAKE PAMOJA MUHESHIMIWA RAISA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KWA VITENDEA KAZI HIVI AMBAVYO VITALETA MABADILIKO MAKUBWA KATIKA SEKTA YA KILIMO

 


Mirejesho