Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

WAKULIMA KIJIJI CHA TYEME WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MBOLEA NA VIWATILIFU KATIKA ZAO LA MTAMA

Hassan Hangahanga

9th April, 2022 21:17
Wakulima kijiji cha tyeme wapatiwa mafunzo ya matumizi ya mbolea na viwatilifu katika zao la mtama

Wakulima kijiji Cha tyeme kata ya Mtoa wilaya ya Iramba wapatiwa mafunzo ya matumizi ya mbolea za kupandia,kukuzia na kuzalishia na pia namna ya kupambana na wadudu waharibifu wa mazao.


Mirejesho