Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

TARI ILONGA KUFANYA KAZI NA HALMASHAURI YA RUANGWA KATIKA ZAO LA MTAMA

Joel Silavwe

7th March, 2023 18:41
TARI ILONGA KUFANYA KAZI NA HALMASHAURI YA RUANGWA KATIKA ZAO LA MTAMA

Kituo cha utafiti TARI ILONGA ,imedhamiria kupanua wigo wa kuongeza uzalishaji zao la mtama wa mda mfupi kwa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa ,lengo kuu ikiwa ni kupanua wigo wa uzalishaji zao hilo ,na hivyo kukabiliana na changamoto ya njaa nchini.Kata zilizoingia kwenye mpango huo ni KATA YA LIKUNJA(vijiji vya likunja na mitope)na kata ya MANDAWA (kijiji cha Nahanga).Ambapo kwa kuanza wakulima wamepewa mbegu kwa ajili ya majaribio na mwisho wa siku tuweze kupata matokeo ni mbegu gani itaonekana imefanya vizuri ili ndiyo itumike kwa uzalishaji wa zao hilo kwa wilaya ya Ruangwa.


Mirejesho