Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MAAFISA KILIMO MKOA WA KILIMANJARO WAPATA MAFUNZO YA MKILIMO

IDDI KANYAPINI

25th February, 2022 12:20
Maafisa kilimo mkoa wa Kilimanjaro wapata  mafunzo ya Mkilimo

Maafisa ugani wa mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 24 February 2022 wapatao 140 wamepatatia mafunzo ya matumizi ya M kilimo na wawezeshaji  kutoka Wizara ya kilimo


Mirejesho