Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MATUNDA YA BALOZI WA PAMBA TANZANIA YAONEKANA

Richard Mtamani

29th January, 2022 12:52
MATUNDA YA BALOZI WA PAMBA TANZANIA YAONEKANA

Wakulima wa zao la Pamba Kijiji cha Mangungu, Kata ya Bukoko Wilaya ya Igunga wamehamasika na kufuata maelekezo ya Balozi wa zao la Pamba nchini, kupanda kwa mistari na kwa safasi ya Sm60 kwa Sm30. Mkulima Samson Kamuga Nkalango akiwa na watoto kwenye Picha. wamepanda Pamba ekari 2 tarehe 28/01/2022 kwa kufuata maelekezo.


Mirejesho