Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Tafuta
Placeholder
WAZIRI HASUNGA ARIDHIA OMBI LA KUWAPATIA ARDHI VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO NCHINI ISRAEL

Imewekwa 3rd September, 2019 07:13

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na vijana watanzania waliohitimu mahafali ya mafunzo ya Kilimo ya Agro Studies yaliyofanyika jijini Jerusalem nchini Israel, leo…

Placeholder
SERIKALI INA NIA THABITI KUSHIRIKIANA NA WADAU WA TASNIA YA NAFAKA KUKOMESHA CHANGAMOTO-WAZIRI HASUNGA

Imewekwa 3rd September, 2019 07:53

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam

Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi madhubuti wa Mhe Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…

Placeholder
SIMIYU YAANDAA MKAKATI MAALUM WA MIAKA MITANO WA MAPINDUZI YA KILIMO CHA PAMBA

Imewekwa 3rd September, 2019 07:56

Na Stella Kalinga, Simiyu RS

Katika kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa soko la pamba mkoa wa Simiyu umeandaa mkakati maalum wa miaka mitano (2019-2024) wa mapinduzi ya kilimo cha zao…