Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

UBORA WA MBEGU ZA HYSUN33 KWENYE UOTAJI NA UKUAJI WA HARAKA

Octavian Kiwango

22nd February, 2022 12:14
Ubora wa mbegu za hysun33 kwenye uotaji na ukuaji wa haraka

Msahamba darasa yaliyopandwa mbegu aina ya hysun 33 katika kata ya ikhanoda yameonyesha ufanisi mzurikatika uotaji na ukuaji mzuri pamoja na changamoto  mbalimbali kama upungufu wa mvua kipindi cha kupanda na kuzidi kwa mvua ndani ya kipindi cha mwezi mmoja baada ya kuota.


Mirejesho