Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

RUANGWA DC NA MTAMA DC WAPATA MAFUNZO REJEA KWA MAAFISA UGANI WA UMMA

Joel Silavwe

28th January, 2022 13:52
Ruangwa Dc na Mtama Dc wapata mafunzo rejea kwa maafisa ugani wa umma

Maafisa ugani wa umma kutoka halmashauri ya Mtama na Ruangwa Dc wapatiwa mafunzo rejea kwa mazao ya ufuta na alizeti yaliyotolewa na wizara ya kilimo kwa kushirikiana na AMDT kwa siku 3 na kuhitimishwa na Mh.Anthony Mavunde Naibu waziri wa kilimo 27th January katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa wilaya Ruangwa. 


Mirejesho