Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MAAFISA UGANI RUANGWA WAPATA LEARNING VISIT

Joel Silavwe

28th January, 2022 15:17
Maafisa Ugani Ruangwa wapata learning visit

Maafisa ugan kutoka kata za LIKUNJA, NKOWE,CHIEJELE na MNACHO Ruangwa Dc ambazo uzalisha mazao  ya mboga mboga na matunda wamewezeshwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya Ruangwa kwenda kujifunza katika soko la mboga mboga na matunda ( collection center)katika kijiji cha chidya wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara. Soko hilo lina miundombinu yote ikiwa ni pamoja na cold room,kreti maalum kwa ajili ya vipimo zenye ujazo wa kilogram 40, lakin pia sheria ndogo ndogo na tozo walizojiwekea ili kuepuka uuzaji holela wa mazao hayo na hivyo halmashauri kuingiza mapato kwa urahisi kupitia mazao haya ya bustani. 


Mirejesho