Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MAFUNZO YA M-KILIMO KILIMANJARO

Mwinjuma Sareva

25th February, 2022 12:19
MAFUNZO YA M-KILIMO KILIMANJARO

Wizara ya kilimo imeendesha mafunzo ya M-Kilimo kwa Maafisa Ugani 140 katika Mkoa wa Kilimanjaro ikishirikisha Halmashauri ya Hai, Siha, Rombo na MoshI DC, mafuzo hayo yalifanyika katika Halmashauri ya Hai tarehe 24 - 25 Februari katika ukumbi wa Halmashauri ya Hai


Mirejesho