Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MAFUNZO YA M- KILIMO

MARIA KIWALE

25th February, 2022 12:19
Mafunzo ya m- Kilimo

Wizard ya Kilimo inaendesha mafunzo ya m- Kilimo katika mkoa wa kilimanjaroikishirikisha halmashauri ya Hai,Rombo,Moshi-Dc na Siha mafunzo hayo yalifanyika katika Halmashauri ya Hai tarehe 24-25 February katika ukumbi wa Halmashauri


Mirejesho