Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MAFUNZO YA MFUMO WA M-KILIMO MKOA WA KILIMANJARO

GUDILA DAMIANI

25th February, 2022 12:26
MAFUNZO YA MFUMO WA M-KILIMO MKOA WA KILIMANJARO

Wizara ya kilimo imewapatia maafisa ugani 140 wa mkoa wa Kilimanjaro mafunzo ya M-KILIMO ambao imehushisha wilaya ya Hai,Rombo,Siha na Moshi DC yaliyofanyika katika halmashauri ya Hai tarehe 24-25 februari 2022.


Mirejesho