Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MAFUNZO YA M.KILIMO KILIMANJARO

Jenifer Lyimo

25th February, 2022 12:21
MAFUNZO  YA  M.KILIMO KILIMANJARO

Wizara ya kilimo imeendesha mafunzo ya M.Kilimo kwa maafisa ugani 140 katika Mkoa wa kilimanjaro ikishirikisha Halmashauri ya Hai,Siha,Rombo na Moshi DC yanayifanyika ukumbi wa halmashaur ya wilaya ya hai...


Mirejesho