Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MATIKITI YANAUZWA

Dickson Kuyenga

31st March, 2022 09:52
MATIKITI YANAUZWA

Matikiti yanauzwa kutoka katika kikundi Cha walemavu umoja group kilichopo kijiji cha wembele kata ya shelui wilaya ya Iramba mkoa wa singida.

Wanamatikiti yapatayo 5000 Bei ni maelewano.

Kwa mawasiliano wasiliana na katibu.

0789939341

 

 

 


Mirejesho